Sh 00

Kugawa Miti Shinyanga

Shirika La Compass Tanzania Lagawa Miche Ya Miti 400 Kata Ya Itwangi Na Nsalala Mkoani Shinyanga   Shirika lisilo la kiserikali la Compass Tanzania limegawa miche ya miti elfu nne (4000) katika kata ya Itwangi pamoja na kata ya Nsalala Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za serikali katika...

Kugawa miti 2

Tumegawa tabora Akigawa miche hiyo Afisa maendeleo wa kata ya Tinde Bi. Eva Mlowe amesema serikali inatambua mchango unaofanywa na mashirika yasiyoyakiserikali kwa lengo la kutatua changamoto zinazoikabili jamii.       Afisa maendeleo amepongeza juhudi za shirika la Compass Tanzania kwa kuendelea kuunga mkono maono ya serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais...